Maelezo ya picha, Ajali ya treni iliyotkea Msagali Dodoma ni moja ya ajali kubwa za treni Tanzania Kwenye upande wa ajali mbaya za treni kuwahi kutokea Tanzania hii ni miongoni mwao.
Treni hii iliwasili Dodoma majira ya saa 9:15 alasiri na Kuondoka Dodoma ... Shirika la Reli Tanzania halikutoa maelezo yoyote kuhusu chanzo cha ajali hiyo lakini limesema: ''uchunguzi unaendelea ...