Maafisa wa huduma za treni nchini India wanasema kuwa takriban watu 20 wanahofiwa kufariki katika ajali ya gari moshi katika jimbo la Uttar Pradesh. Treni hiyo ya kubeba abiria iligongana na treni ...
Bado haijabainika ni nini kilisababisha mgongano wa treni hizo katika wilaya ya Balasore, ambayo imeelezwa kuwa ajali mbaya zaidi ya reli nchini India katika karne hii. Ajali zingine mbaya ya ...