limefanya jaribio la kwanza la kubeba abiria kwenye treni ya kisasa ya abiria inayotumia umeme (SGR) kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro. Ambia Hirsi, Yusuf Jumah, Dinah Gahamanyi and Lizzy ...
Jengo lenye rangi kama madini adimu ya tanzanite, ni jengo la reli mpya jijini Dar es Salaam – ambayo ni ishara ya hamu ya mafanikio katika usafiri Tanzania. Treni zinazotumia umeme nchini ...