CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Songea Mjini na Vijijini mkoani Ruvuma, kinatarajia kufanya maandamano yakifuatiwa na ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika. Kapinga ameyasema hayo leo Februari 07 2025 ...
Sababu ya ajali bado haijafahamika, lakini serikali ya jimbo la Unity ilisema inafanya kazi na makampuni ya mafuta na kampuni ya ndege kubaini majina ya wahanga. Ajali za ndege hutokea mara kwa ...
Watu kadhaa inahofiwa wamekufa baada ya ndege ya abiria kugongana na helikopta ya kijeshi na kisha kuanguka mtoni karibu na uwanja wa ndege mjini Washington, Marekani usiku wa kuamkia Alhamisi.
Ajali hiyo ilitokea katika sehemu ya kaskazini-mashariki ya Philadelphia, na kusababisha uharibifu wa nyumba, biashara na magari. Taarifa iliyotolewa na jiji hilo jana Jumamosi ilisema kuwa ndege ...
Wameanza kurejesha ushahidi -- na mabaki ya waathiriwa -- kutoka eneo la ajali nje kidogo ya Washington. Watu wote 67 waliokuwa kwenye ndege hizo mbili wanaaminika kufariki. Mkuu wa zimamoto na ...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imekamata mbolea ya ruzuku iliyokuwa ikiuzwa kwa bei ya juu kinyume na utaratibu wa serikali. Akizungumza Jumatano, Januari 29, 2025, ...
Hiyo ina maana kwamba abiria wote 175 wa ndege hiyo walifariki dunia katika ajali hiyo, pamoja na wafanyakazi wanne wa ndege hiyo. Chanzo cha picha, Reuters/EPA Maelfu ya wananchi wa Georgia ...
Looking for information on Dodoma Airport, Dodoma, Tanzania? Know about Dodoma Airport in detail. Find out the location of Dodoma Airport on Tanzania map and also find out airports near to Dodoma.
Juhudi za uopoaji zinaendelea katika eneo la Washington DC, kufuatia ajali ya ndege aina ya American Airlines iliyokuwa ikitoka Kansas ikiwa na abiria 64 kugongana na helikopta ya kijeshi ...
And it all starts with three easy sounds: ya ya ya. Langel has been making TikToks about vocal coaching since 2021. So when she attended the Texas Thespian Conference in November, she thought ...
Dar es Salaam. Wakati huduma ya usafiri wa treni ya kisasa ya umeme (SGR) ikirejea alfajiri ya kuamkia leo Alhamisi, Januari 9, 2025, uongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) umesema kilichosababisha ...