SIMANZI, majonzi na vilio vimetanda kuanzia usiku wa jana Januari 13,2025, kwenye kata ya Segera, wilaya ya Handeni mkoani Tanga, kufuatia vifo vya watu 11 na majeruhi 13, kutokana na ajali ya gari ..
Ajali hiyo iliyotokea barabara kuu ya Moshi/Tarakea, majira ya saa 9:40 jioni ya Desemba 26, mwaka huu, ilihusisha basi la abiria, mali ya Kampuni ya Ngasere, lenye namba za usajili T 620 DZQ ...
Miili ya watu 11 waliopoteza maisha katika ajali ya lori katika Kijiji cha Chang’ombe ... umesafirishwa kuelekea Bukoba mkoani Kagera na mwili mmoja unaenda kuzikwa Moshi mkoani Kilimanjaro. “Wengi wa ...
Netflix's popular teen drama XO, Kitty is set to make a comeback for its second season this week, nearly two years since it first captured audiences. Drawing inspiration from Jenny Han's acclaimed ...
Bagamoyo. Majeruhi wote 21 waliokuwa wamelazwa kwenye Hospitali ya Msoga Halmashauri ya Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani kufuatia ajali iliyohusisha Coaster na lori wameruhusiwa baada ya afya ...
DAR ES SALAAM; TAASISI ya Tiba na Mifupa Muhimbili (MOI) imesema wagonjwa 405 sawa na asilimia 5.2 wameongezeka kutoka 7,797 mwaka 2023 hadi wagonjwa 8,202 Desemba mwaka jana ambapo asilimia 59 ni wa ...
Saa chache kabla ya mwisho wa mwaka, mashua ndogo ilizama kwenye ufuo wa Lampedusa, imeeleza taarifa ya shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto (UNICEF) iliyotolewa jana Januari mosi mjini ...
He announced the big news via his Instagram account on Wednesday, January 1. “Ya boy did a thing 殺殺殺,” he captioned a carousel of pics from the big day. In the photos, MrBeast ...
MWAKA 2024 Tanzania iliandika historia nyingine ya kuanza usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR). Historia hiyo ilianza Juni 14 kwa safari za treni kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro na baadaye kutoka Dar ...
Siku ya Jumamosi, Rais wa Urusi Vladmir Putin aliomba msamaha kwa Aliyev baada ya ajali hiyo ililiyotokea karibu na mji wa pwani wa Aktau nchini Kazakhstan.
Vyombo vya habari nchini Korea Kusini vimesema ajali ya ndege ya abiria iliyotokea kusini magharibi mwa nchi hiyo ndiyo ajali iliyoua watu wengi zaidi kuwahi kutokea ndani ya nchi hiyo. Ndege hiyo ...
Ajali hiyo ilitokea nchini Kazakhstan Jumatano iliyopita na kuua watu 38. Aliyev alizungumza kuhusu ajali hiyo wakati wa mahojiano na kituo cha televisheni cha serikali ya nchi hiyo jana Jumapili.