Mlipuko wa virusi hivyo umeripotiwa katika eneo la Kagera kaskazini magharibi mwa Tanzania ambapo ... jinsi hali ya anga inavyoathiri sayari", kulingana na SpaceX. Rais mpya wa Msumbiji Daniel ...
Rais wa Côte d'Ivoire Alassane Ouattara amesema siku ya Alhamisi kwamba "ana nia ya kuendelea kuitumikia" nchi yake, huku akihakikisha kwamba hajafanya uamuzi kuhusu kugombea kwake muhula wa ...
Uamuzi huu unakuja siku 10 baada ya hotuba ya Jenerali Mamady Doumbouya kuwatakiwa raia wake Heri ya Mwaka Mpya. Rais huyo wa mpito alitangaza kuwa mwaka 2025 utakuwa mwaka muhimu wa uchaguzi kwa ...
Ugonjwa ulipoendelea, alianza kutokwa na damu kutoka kwenye matundu ya sehemu za mwili. Alifariki tarehe 16 Desemba mwaka ... hayo. Rais wa shirikisho la soka nchini Tanzania Wallace Karia ameunga ...
Kitabu hicho, kinaeleza kinagaubaga jinsi Rais wa ... mpya chini ya Lissu, inatarajiwa kutembea na falsafa ya jino kwa jino au ngangari na ngunguri, ambazo hazikuwahi kukisaidia Chama cha Wananchi ...
Hakuna ubishi kabisa kuwa Mapinduzi ya Zanzibar, yameleta heri ... Hamad wa Chama cha Wananchi (CUF) ndiye angelikuwa mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar kwa kutumia kigezo cha matokeo ya uchaguzi ...
Ameongeza kuwa Afrika pia” ina idadi kubwa ya vijana wenye ujasiriamali, hali inayotoa uwezo mkubwa wa kuonyesha dunia njia mpya ya maendeleo ya ... suluhu ya nishati safi za kupikia. Rais wa Jamhuri ...
Rais wa mpito ... na madhehebu mengi ya kidini hadi Machi 1. Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Asaad al-Shaibani alisema mazungumzo na wajumbe wa Qatar yaligusa ujenzi mpya katika nchi hiyo ...
itategemea uwezo wa serikali mpya kuyakabili mazingira magumu ya kisiasa na kijeshi yaliyosababishwa na vita. Uteuzi wa Ahmad al-Sharaa kuwa rais wa mpito wa Syria ni hatua muhimu katika kipindi ...
Rais wa Taiwan Lai Ching-te ameelezea matumaini kuwa eneo hilo na Japani zitaweza kuhitimisha makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi, EPA. Lai alishiriki tukio la kusherehekea Mwaka Mpya jana ...