Dk. Biteko amesema matumizi ya umeme hivi sasa yameongezeka katika sekta nyingine za kiuchumi ikiwemo treni ya SGR, kwenye migodi mikubwa na midogo ambayo haikuwa imeunganishwa na umeme hivi sasa ...
“Meli zinazojiendesha na bandari mahiri zinabadilisha usafiri wa baharini; magari ya umeme, treni za mwendo kasi na mifumo ya usimamizi wa trafiki mahiri zinaendesha mageuzi ya usafiri wa nchi kavu,” ...
Zaidi ya abiria milioni 1 wasafiri kwa SGR tangu kuzinduliwa. Tangu kuzinduliwa kwa huduma ya usafiri kwa reli ya kisasa (SGR) mwezi Agosti 2024 hadi Desemba 11, 2024, zaidi ya abiria 1,200,000 ...
Seki ni mkurugenzi wa zamani wa kampuni ya Nissan ambaye sasa anaongoza kitengo cha magari ya umeme cha kampuni ya Taiwan. Afisa wa mahusiano ya umma wa Hon Hai amekataa kuzungumzia ripoti hiyo.
Kama wiki iliyopita, mabadilishano ya tano yatafanyika katika maeneo mawili katika Ukanda wa Gaza kwa mfululizo, anaripoti mwandishi wetu huko Jerusalem, Michel Paul. Mateka watatu wa Israeli ...
Wanaume watatu, wameonekana hali yao ya afya ikiwa imeodhoofika na mifupa karibu kuonekana baada ya siku 491 ya kushikiliwa kwao mateka. "Hatuwezi kukubali picha za kutisha tulizoziona asubuhi ya ...
The Electricity Regulatory Authority (ERA) has introduced new regulations under the Electricity Act that will allow manufacturers and bulky electricity consumers to buy power directly from ...
Maelezo ya picha, Mnara maarufu wa al-Hadba uliharibiwa katika vita vya kukomboa Mosul mnamo 2017. 6 Februari 2025 Majengo ya kihistoria mjini Mosul, yakiwemo makanisa na misikiti, yanafunguliwa ...
Katika Ukanda wa Gaza, ni wachache wanaotaka kusikia kuhusu kutelekeza nyumba zao, ingawa kwa wengi sasa ni milima ya vifusi baada ya miezi 15 ya vita na kushuhudia karibu vifo 47,000 vya Wapalestina.
Kahama. Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga wamembana Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika halmashauri hiyo kutokana na kukatika mara kwa mara kwa ...
Kukosekana umeme wa uhakika na kutokuwapo usawa sokoni kumetajwa kuwa sababu ya viwanda, vikiwamo vya chuma kushindwa kufanya kazi kwa kiwango kinachotakiwa nchini. Kutokana na hilo, imependekezwa ...
Shirikisho la Soka la Barani Afrika (CAF) limetangaza ratiba ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Morocco 2025, ambazo zitachezwa kwenye viwanja tisa katika miji sita ...