Dk. Biteko amesema matumizi ya umeme hivi sasa yameongezeka katika sekta nyingine za kiuchumi ikiwemo treni ya SGR, kwenye migodi mikubwa na midogo ambayo haikuwa imeunganishwa na umeme hivi sasa ...
endelevu na nafuu ifikapo mwaka 2030.Takwimu zinaonesha raia zaidi ya milioni 600 hawana umeme, bilioni 1 hawatumii nishati safi na salama.Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imezungumza na ...
Benki ya Maendeleo ya Afrika na wakopeshaji wengine wa kimataifa wameahidi zaidi ya dola bilioni 8 zitakazotumika kwenye mkakati wa kuwawezesha Waafrika milioni 300 kupata umeme katika kipindi cha ...
New York City has hip-hop, and Chicago has house music. Although each genre became a global phenomenon, the latter still generates far less mainstream coverage. To this day, a cloud of mystery ...
Shirikisho la Soka la Barani Afrika (CAF) limetangaza ratiba ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Morocco 2025, ambazo zitachezwa kwenye viwanja tisa katika miji sita ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
kuboresha miundombinu ya gridi za umeme, na kuimarisha upatikanaji wa suluhu ya nishati safi za kupikia. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye mwenyeji wa mkutano ...
Amefafanua kuwa treni hizo za ziada zitafanya kazi kwa saa zilizotajwa pekee, kipindi ambacho abiria wengi huenda kazini asubuhi na kurejea nyumbani jioni. Katika ratiba ya kawaida ya treni za Pugu ...
Juhudi za kushinikiza mhamo kutoka matumizi ya nishati chafuzi ya magari na kuhamia kwenye matumizi ya magari ya umeme ya nishati safi zimeanza kuonekana. Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa ...
Mohammed Shami returns to international cricket for India after over a year, drawing parallels between flying a kite and cricket. Shami emphasizes the importance of balance, rhythm, and confidence.
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema mafanikio ya kufikisha umeme kwa asilimia 100 vijijini yametokana na maono ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya nishati.