Jengo lenye rangi kama madini adimu ya tanzanite, ni jengo la reli mpya jijini Dar es Salaam – ambayo ni ishara ya hamu ya mafanikio katika usafiri Tanzania. Treni zinazotumia umeme nchini ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere ...
Reli mpya ya aina yake inayounganisha ... kabisa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara - ukiondoa Afrika Kusini - ambayo inatumia kikamilifu nguvu za umeme. Umeme utatoka kwa nyaya zinazopitia ...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha huduma ya umeme wakati miradi mbalimbali ya umeme inapotekelezwa ili kuepuka gharama inayoweza kutokea pale miradi inapokuwa ...