SERIKALI ya Japan imepatia Tanzania mkopo nafuu wa Sh. bilioni 354.45 kwa ajili ya utekelezaji mradi wa uendelezaji kilimo vijijini. Akizungumza mkoani Dar es Salaam jana baada ya kutiwa saini kwa ...
DAR-ES-SALAAM : TANZANIA imezindua rasmi Tuzo za Tanzania Comedy Award kwa mara ya kwanza, lengo likiwa ni kutambua na kuthamini kazi za wasanii wa vichekesho wanaofanya vizuri katika tasnia ya ...
Kufuatia ripoti za kesi zilizoshukiwa za homa ya virusi vya Marbug nchini Tanzania, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO limeimarisha utayari wake kuisaidia serikali ya Tanzania katika ...
lakini kumekuwa na ukimya juu ya hatma ya kocha huyo ndani ya kikosi hicho cha timu ya Tanzania. Kocha huyo raia wa Algeria aliadhibiwa na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Januari ...
“Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutufikisha hapa tulipo leo, tunatumai huu ni ukurasa wa mwisho wa vita, na pande zote zimejitolea kutekeleza masharti yote ya makubaliano haya na zimejitolea ...
Nchini Comoro, matokeo ya muda ya uchaguzi wa wabunge yamechapishwa jana, Jumanne Januari 14 jioni na Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi baada ya kuchelewa kwa zaidi ya saa tatu kwa muda uliopangwa.
Mfumo wa kidijitali unafadhiliwa na serikali ya Canada kupitia shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania umeanza kuonesha mafanikio katika kurahisisha huduma kama vile ...
Voters in Comoros are heading to the polls to elect the Indian Ocean archipelago's 33-seat parliament, a year after the re-election of President Azali Assoumani in a poll the opposition alleges ...
SIMBA inarudi uwanjani wikiendi hii ikiwa ugenini ili kutaka kulinda hadhi iliyonayo ikiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara itakapoikabili Tabora United, lakini kule katika michuano ya kimataifa kuna ...
amefunguka juu ya makali ya mchezaji huyo akisema mabingwa wa Tanzania wamepata mtu wa kutengeneza mabao na kufunga. Kocha Raoul Shungu, aliyewahi kuzinoa Yanga na AS Vita kwa vipindi tofauti, alisema ...
Dar es Salaam. Mizania ya ushindi wa nafasi ya uenyekiti wa Chadema kwa mtazamo wa wataalamu wa siasa, inalingana kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ingawa wanasema kila mmoja ana sifa ...