Khatibu Kazungu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania Abu Dhabi Luteni Jenerali Mstaafu Yacoub Hassan Mohamed alipokwenda kwenye ofisi za ubalozi huo kumtembelea. Dk. Kazungu ...
Dar es Salaam. Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Ulaya (EUSR) kwa Ukanda wa Maziwa Makuu, Johan Borgstam anaitembelea Tanzania kuanzia Januari 16 hadi 18, baada ya kufanya ziara Burundi, DRC, Rwanda, ...
Kufuatia ripoti za kesi zilizoshukiwa za homa ya virusi vya Marbug nchini Tanzania, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO limeimarisha utayari wake kuisaidia serikali ya Tanzania katika ...
Nchini Comoro, matokeo ya muda ya uchaguzi wa wabunge yamechapishwa jana, Jumanne Januari 14 jioni na Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi baada ya kuchelewa kwa zaidi ya saa tatu kwa muda uliopangwa.
Mfumo wa kidijitali unafadhiliwa na serikali ya Canada kupitia shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania umeanza kuonesha mafanikio katika kurahisisha huduma kama vile ...
Voters in Comoros are heading to the polls to elect the Indian Ocean archipelago's 33-seat parliament, a year after the re-election of President Azali Assoumani in a poll the opposition alleges ...
SIMBA inarudi uwanjani wikiendi hii ikiwa ugenini ili kutaka kulinda hadhi iliyonayo ikiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara itakapoikabili Tabora United, lakini kule katika michuano ya kimataifa kuna ...
amefunguka juu ya makali ya mchezaji huyo akisema mabingwa wa Tanzania wamepata mtu wa kutengeneza mabao na kufunga. Kocha Raoul Shungu, aliyewahi kuzinoa Yanga na AS Vita kwa vipindi tofauti, alisema ...
Katikati ya kampeni ya uchaguzi wa wabunge hadi Januari 10, mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake katika siasa nchini Comoro umerejea mezani. Kwa mujibu wa serikali, kuna maendeleo.
Ahmed alisema wamejitahidi kukwepa kila eneo ambalo wanadhani wangeweza kufanyiwa hujuma kwa kushirikiana na ubalozi wa Tanzania nchini Tunisia. "Tumewasili salama baada ya safari ndefu, tumefika hapa ...
KAMPALA : UGANDA itazindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza Julai. Akitoa taarifa hiyo mjini Kampala hapo jana Alhamisi Waziri wa Nishati na Madini, ...