Basi la timu ya Dodoma Jiji FC limepata ajali ya asubuhi hii maeneo ya Nangurukuru kuelekea Somanga mkoani Lindi likitokea ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, ameagiza tathmini ifanyike kubaini maeneo ambapo wanafunzi ...
WACHEZAJI saba kati ya 37 waliopata majeraha katika ajali ya gari la timu ya Dodoma Jiji FC bado wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Kinyonga kutokana na kuumia kwa kukatwa na vioo wakati gari ...
KIKOSI cha Dodoma Jiji kimepata ajali ya basi kikitokea Ruangwa mkoani Lindi kuja jijini Dar es Salaam, baada ya jana tu kumaliza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji wao Namungo FC, ...
Tanzania and Burundi have signed a $2.15 billion agreement to construct a railway to connect the two nations and transport metals, particularly the battery mineral nickel, to Tanzania’s port ...
Kilwa. Basi la timu ya Dodoma Jiji limepata ajali huku ikidaiwa wachezaji na watumishi wa timu hiyo ambao wanakadiriwa kufika 37 kujeruhiwa baada ya basi lao kutumbukia mtoni. Ajali hiyo imetokea leo ...
BASI lililobeba wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Dodoma Jiji limepinduka na kutumbukia mtoni katika eneo la Nangurukuru mkoani Lindi likiwa na wachezaji. Ajali hiyo imetokea leo Februari 10, ...
Ajali hiyo ilitokea katika sehemu ya kaskazini-mashariki ya Philadelphia, na kusababisha uharibifu wa nyumba, biashara na magari. Taarifa iliyotolewa na jiji hilo jana Jumamosi ilisema kuwa ndege ...
DODOMA: NAIBU WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, amewaagiza wadau wa usalama barabarani kudhibiti ajali za barabarani ambazo zinachangia kupoteza nguvu kazi ya taifa. Akijibu swali ...
Wameanza kurejesha ushahidi -- na mabaki ya waathiriwa -- kutoka eneo la ajali nje kidogo ya Washington. Watu wote 67 waliokuwa kwenye ndege hizo mbili wanaaminika kufariki. Mkuu wa zimamoto na ...
Hiyo ina maana kwamba abiria wote 175 wa ndege hiyo walifariki dunia katika ajali hiyo, pamoja na wafanyakazi wanne wa ndege hiyo. Chanzo cha picha, Reuters/EPA Maelfu ya wananchi wa Georgia ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results