Lakini kwa mtindo wa kawaida wa Donald Trump, baada ya rais mpya wa Marekani kuagiza mashambulizi ... Mkataba wa dola 600,000 (paundi 492,000) kwa mwaka ambao serikali ya Somalia ilitia saini ...
binti wa rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma, amefikishwa mahakamani siku ya Alhamisi baada ya kushtakiwa kwa kuchochea ghasia wakati wa vurugu za mwaka 2021 ambapo zaidi ya watu 300 waliuawa.
Serikali imesema imeanza maandalizi ya wataalamu na teknolojia mpya ya matibabu ya ugonjwa wa ... Amesema wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Marekani mwaka 2022 na ile ya mwaka 2024, ...
Chikwe Ihekweazu kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likibainisha kuwa Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu. Uteuzi huo unafuatia ... Baada ya kifo chake, Rais wa Tanzania, ...
Kauli ya Rais Donald ... Kwa upande wa Palestina, mzozo kati yao na Israel unajikita katika mzizi ya kumbukumbu ya wanachokiita al- Nakba, kama janga. Huo ulikuwa uhamisho wa Palestina huku Walowezi ...
Pia, amewasihi wakati huu wanapoanza mwaka mpya wa mahakama, wazikague nafsi zao na dhamira kwa kudhamiria daima kukaa kwenye upande wa haki. Rais Samia, alisema hayo jana jijini hapa, wakati akifunga ...
Nchi ya DRC inawakilishwa kwenye kikao hicho na Waziri wake Mkuu Judith Suminwa. Katika mkutano huo, Rais wa Tanzania amewataka wenzake wa nchi za SADC na EAC kutafuta suluhu la utovu wa usalama ...
Baraza la Wawakilishi la Bunge la Ufilipino limepiga kura ya kumuondoa ... na Rais wa zamani Duterte. Hata hivyo, uhusiano kati ya Marcos na familia ya Duterte ulianza kuwa mbaya mwaka jana.
Viongozi hao wakikanda wanakutana kujadili mpango wa usitishwaji mara wa mapigano mashariki ya DRC. Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na nchi ya Rwanda, wamekuwa wakiripotiwa kuchukua udhibiti ...
Afisa wa ngazi ya juu katika kiwanda cha Taiwan cha Hon Hai Precision Industry aliripotiwa kusafiri hadi Japani mwezi uliopita na kukutana na wakurugenzi wa kampuni ya Nissan Motor kuhusu ...
February 8, 2025: Four new Anime Royale codes are in. What are the new Anime Royale codes? Throwing you into an anime world where you can summon your favorite heroes from multiple anime series ...
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema kuwa tuzo ya ‘The Gates Global Goalkeeper’ aliyoipata Rais Samia Suluhu Hassan imeleta heshima kwa Halmashauri ya Jiji, Mkoa wa Dar es salaam na taifa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results