Mhandisi Mwandamizi wa EWURA Kanda ya Kati, Nicholaus Kayombo, akitoa mada kuhusu umuhimu wa leseni za usanikishaji mifumo ya umeme kwa wadau hao, amewakumbusha mafundi umeme kuhakikisha wanawapatia ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
muonekano wa wanawake michezoni na visa vya dhulma ya jinsia. Kamati ya olimpiki ya kitaifa nchini Kenya (NOC-K) inaandaa mkutano wa Afrika Mashariki jijini Nairobi nchini Kenya wiki hii kati ya ...
Kuna mpango ya kujenga bwawa kubwa, lenye thamani ya mabilioni ya dola kwenye Mto Congo - ambalo litazalisha umeme wa kutosha unaoweza kutumika katika maeneo mengine ya Afrika. Mradi huo utaitwa ...
Jeshi hilo la Uruguay pia limechapisha picha za baadhi ya watu wakiwa wamevalia sare za kiraia na zile na wanajeshi wakiwa wanafanya usajili nao. Waasi wa M23 walikuwa wamewaagiza wanajeshi wa ...
Katika mjadala wa jana, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt Akinumwi Adesina alisema, "Lengo la kuwafikishia umeme watu milioni 300 Afrika linakwenda kufanikiwa, tunahitaji uwazi na ...
Senegal, taifa lenye watu zaidi ya milioni 18.5 liko kwenye mwelekeo wa kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma ya umeme. Benki ya Dunia inasema kiwango cha kupata umeme kwenye taifa hilo sasa ni ...
kuboresha miundombinu ya gridi za umeme, na kuimarisha upatikanaji wa suluhu ya nishati safi za kupikia. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye mwenyeji wa mkutano ...
WANAHARAKATI wa Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira nchini wamewashauri viongozi wakuu wa Afrika kuzingatia teknolojia ya nishati jadidifu na endelevu katika utekelezaji wa mpango wa kuwafikishia ...
MKUTANO wa Wakuu wa Nchi wa Afrika Kuhusu Nishati unahitimishwa leo ukilenga kutoa azimio litakalowezesha Waafrika milioni 300 kufikishiwa huduma ya umeme ifikapo 2030. Jana ulitanguliwa na mawaziri ...