Alisema visiwa vya Zanzibar ni lango kuu wakati Dar es Salaam ni mji wenye kazi nyingi za kutumikisha mabinti na watoto hasa biashara haramu ya ngono. “Zanzibar ni lango kuu na Dar es Salaam ndio ...
Sharif Ali Shariff akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa taasisi ya Coldwell Banker Tanzania Zanzibar ambayo itasaidia katika uendelezaji wa majengo ya biashara kisiwani hapa Unguja. Serikali ya ...
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla akizungumza katika warsha ya utekelezaji wa mapendelezo ya Tume ya Haki Jinai Zanzinar Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed ...
Wasanii wa Muziki Afrika na Duniani kote wanakutana visiwani Zanzibar kufurahia uzuri na Upekee wa Muziki, wageni mbalimbali hukusanyika kushuhudia Tamasha la Sauti za Busara kila ifikao mwezi ...
Nina watoto wasichana wawili wadogo wanaoishi nami. Pia niliwaacha baadhi ya watoto wangu Sudan kwa sababu sina nauli ya usafiri wa kuwaleta. Sina kitu cha kuwaletea hapa. Ndiyo maana ninajihisi ...
yakiwamo ya daladala wanaotoa huduma za usafiri mkoani Kigoma na maeneo mengine nchini. Wanasema sheria zimenyimwa meno na mamlaka zinazoshughulikia masuala ya rushwa barabarani zimeshindwa ...