‘Mteja alitaka kunishika nikakataa akaniambia ana elfu kama nauli’ - Zainab Mtima, Dereva taksi mwanamke Zanzibar. Visiwani Zanzibar kuna maeneo mengi ya kitalii ambayo kama mgeni utatamani ...