Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika.
Imebainika kuwa zaidi ya abiria 1,500,000 wamesafiri kwa kutumia treni ya mwendokasi (SGR) katika kipande cha Dar es Salaam, Morogoro, na Dodoma. Akizungumza leo, Januari 24, katika kituo cha treni ya ...