WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa msimamo wa serikali baada ya mabadiliko makubwa ambayo Serikali ya Marekani imefanya katika sera yake ya mambo ya nje, Tanzania ikijielekeza kujiimarisha na kuwa na ...
Viongozi hao waliitisha mkutano wa dharura jana Harare, Zimbabwe, kwa lengo la kujadili hali ya usalama katika eneo hilo. Mkutano huo uliongozwa na Rais wa Zimbabwe na Mwenyekiti wa SADC, Dk. Emmerson ...