Kati ya mabehewa hayo, 200 yameundwa kwa ajili ya kubeba makontena, na 64 kubeba mizigo isiyofungwa (shehena kichele).
Tayari Kampuni ya China ya CREGC&CREDC imepewa jukumu la kuanza ujenzi wa reli hiyo, kazi itakayoanza wiki mbili baadaye ...
Dk. Biteko amesema matumizi ya umeme hivi sasa yameongezeka katika sekta nyingine za kiuchumi ikiwemo treni ya SGR, kwenye migodi mikubwa na midogo ambayo haikuwa imeunganishwa na umeme hivi sasa ...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kuwa mabalozi wazuri wa kuusemea usafiri wa treni ya SGR. Hayo yamesemwa leo Januari ...
TANZANIA inatarajiwa kufanya makubwa kwenye sekta ya ajira na uwekezaji kutokana na Azimio la Dar es Salaam katika mkutano wa ...
BAADHI ya wafanyabi ashara wamejitokeza kwa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutaka wawe wanasa fi rishiwa mizigo yao kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma wakati Treni ya Kisasa (SGR) ya mizigo itakapoanza.
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya ... Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo uliopewa jina "Misheni 300", ni upatikanaji wa fedha karibu dola bilioni 90 zitakaowezesha upatikanaji wa nishati ya ...
Viongozi kwenye Mkutano wa kilele wa Nishati barani Afrika uliofanyika Dar es Salaam, Tanzania wamesema nusu ya walengwa hao wataunganishiwa umeme wa gridi za taifa zilizopo, na nusu nyingine ...
Pia Adesina alisema kuwa Tanzania imekua mfano wa kuigwa kwa kufanya vizuri katika uwekezaji wa miundombinu ya umeme kwa kuwafikishia nishati ya umeme wananchi katika vijijini vyote 12,318.
Akiichambua sera hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uwezo Tanzania, Baraka Mgohamwende amepongeza sera hiyo kwa kutambua mabadiliko ya kiteknolojia, kiuchumi, na kijamii kama vigezo vya ...
Seki ni mkurugenzi wa zamani wa kampuni ya Nissan ambaye sasa anaongoza kitengo cha magari ya umeme cha kampuni ya Taiwan. Afisa wa mahusiano ya umma wa Hon Hai amekataa kuzungumzia ripoti hiyo.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results