KATIKA sehemu ya kwanza ya ripoti hii kulikuwa na ushuhuda wa huduma ya choo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, wilayani Ubungo, Dar es Salaam, ikiwamo kukosekana mahitaji na huduma muhimu kwa watu ...