Raia wa Myanmar na wafuasi wao walikusanyika mbele ya ubalozi wa nchi hiyo jana Jumamosi, ikiwa ni miaka minne kamili baada ya jeshi kuchukua madaraka katika mapinduzi. Watu hao walishika mabango ...
Hatua hii imejiri baada ya waasi wa M23 kuripotiwa kuingia katika Mji Mkuu wa Kivu Kaskazini. Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, mfanyikazi wa shirika la misaada kwenye mpaka huo kati ya ...
Mpaka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) karibu na mji wa Goma uliojaa majeshiumefungwa Jumatatu, chanzo kutoka ubalozi wa Ulaya na mashahidi walisema, saa chache baada ya ...
Nchini Comoro, ziara ya Rais Azali Assoumani ya shukrani baada ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge imezua utata. Wakati wa hotuba yake huko Mohéli mnamo Januari 23, mkuu wa nchi alijadili ...
Viongozi na wakuu wa nchi zaidi ya 50 za Afrika wanakutana katika mkutano wa bara hilo kuhusu nishati utakaoanza rasmi hivi leo jijini Dar-Es-Salaam huko Tanzania. Ajenda kuu ya mkutano huo ...
Chanzo cha picha, Reuters Wafanyakazi wawili katika ubalozi wa Kenya katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, walilazimika kutoroka na kutafuta hifadhi kwingine huku ...
Makumi ya madereva wa Lori wamekwama nchini DRC baada ya waasi wa M23 kuteka sehemu ya mji mkuu wa Goma na kusababisha barabara kuu kufungwa. Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda amezungumza na ...
UBALOZI wa Kenya uliopo Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umeshambuliwa na waandamanaji wenye hasira wakipinga mzozo unaoendelea mashariki mwa nchi hiyo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ...
CHAMA cha Tanzania Labour Party (TLP), kimemchagua Richard Lyimo, kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho atakayeongoza kwa miaka mitano ijayo huku wanachama 21 wakifukuzwa uanachama. Ikumbukwe kuwa tangu ...
CONGO: WAFANYAKAZI wawili katika ubalozi wa Kenya katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, walilazimika kutoroka na kutafuta hifadhi baada ya waandamanaji kuvamia jengo hilo na ...
Ameongeza kuwa, Tanzania ... wa kuisaidia nchi hiyo katika nyanja mbalimbali ikiwemo nishati. Aidha, Dk. Biteko pia amekutana na Waziri wa Nishati wa Malawi na ujumbe wake, Waziri wa Nishati wa ...
TUANZIE wapi ... Kwa nini tumefika hapa? Awali tulianza kutapatapa hapa na pale wakati tulipoanza kuita wachezaji wenye asili ya Tanzania ambao wamezaliwa nje au walienda nje wakiwa wadogo. Wengi ...