Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Wakili Peter Madeleka akihoji wachezaji nyota watatu wa timu ya Singida Black Star (SBS), kupewa uraia imepangwa kutajwa kwa mara ya kwanza wiki ijayo ...
KIPIGO cha mabao 6-1 ilichopata KenGold kutoka kwa Yanga kinaiuma timu hiyo iliyosema hasira na machungu wanatarajia ...
KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amepigilia msumali baada ya kusema tena kwa msisitizo kwamba haoni kama Marcus ...
KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujiandaa na mchezo utakaopigwa keshokutwa dhidi ya JKT Tanzania huku, nahodha msaidizi, Dickson ...
MAKOCHA na wachezaji wa zamani wamemkingia kifua winga wa Simba, Ladaki Chasambi kwa kosa lililotokea juzi wakiliomba benchi ...
UMEIANGALIA orodha ya wafungaji mabao katika Ligi Kuu Bara? Pale juu kuna kinara wa mabao, nyota wa Yanga, Clement Mzize ...
Shirikisho la Soka la Barani Afrika (CAF) limetangaza ratiba ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini ...
AZIZ anajikuta anaingia katika mkasa mwingine wa kupambana na magaidi waliomteka nyara binti wa bilionea mmoja wa Uingereza ...
KINDA wa Arsenal, Myles Lewis-Skelly ameonywa kwamba asirudie kufanya kejeli zake kwa straika wa Manchester City, Erling ...
UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani ...
BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ugenini, kocha mkuu wa Pamba, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema ...
ACHANA na mabao mawili aliyofunga dhidi ya KMC na kumfanya afikishe matano katika Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Azam FC, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results